Kikosi cha Simba SC kilichofungwa 3-1 na Geita Gold Mine inayofundishwa na kocha Suleiman Matola, katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa shule ya Wajja Spring, Geita. Kutoka kulia kocha Dylan Kerr, Awadh Juma, Joseph Kimwaga, Paul Kiongera, Brian Majwega, Said Issa, Hajji Ugando, Daniel Lyanga, Novat Lufunga, Emery Nimubona na Mohammed Fakhi. Aliyechuchumaa mbele ni kipa Peter Manyika.
SIMBA SC YAPOTEA MBELE YA VIJANA WA MATOLA GEITA GOLD

Post a Comment