TIMU ya Arsenal imefanikiwa kumsajili Mohamed Elneny kiungo kutoka Misri aliyekuwa anachezea klabu ya FC Basel kwa ada ya £5million.
Mohamed Elnerny Ingizo jipya arsenal |
Mathieu Flamini |
Mikel Arteta and Tomas Rosicky |
Arsenal pia inategemea kuachana na viungo wake watatu Mikel Arteta, Mathieu Flamini and Tomas Rosicky mwishoni mwa msimu.
Kiungo wa Southampton Victor Wanyama anayewaniwa na Arsenal |
Post a Comment