Louis van Gaal akalia Kuti Kavu Baada ya Manchester Unite kupoteza tena mchezo dhidi ya Norwich City
wakiwa nyumbani Old Trafford . Hii ni mfululizo wa matokeo mabaya yanayoiandama Manchester United kwa sasa baada ya Kutolewa katika kugombea ubingwa wa ulaya(UEFA Champion League).
Magoli ya Norwich City yamefungwa na Cameron Jerome na Alex Tettey, na Manchester walifunga kupitia kwa Anthony Martial.
Post a Comment