Halloween party ideas 2015

Zinedine Zidane Akiongea na Waandishi wa Habari
Zinedine Zidane akiwa kama kocha mpya wa Real Madrid baada ya kutimuliwa kwa aliyekuwa kocha wa timu hiyo Rafa Benitez . Akizungumza na waandishi wa habari, ametoa msimamo wake juu ya uwezekano wa kuuzwa kwa Cristiano Ronaldo kwamba hawana wazo hilo kwa sasa.

Kocha Mpya Zinedine Zidane akiwa katika majukumu yake mapya kama kocha.



Post a Comment

Powered by Blogger.

Powered by themekiller.com