Mshambuliaji wa Everton, Romelu Lukaku akiifungia timu yake katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Manchester City mechi ya kwanza ya Nusu Fainali ya Kombe la Ligi, maarufu kama Capital One Cup Uwanja wa Goodison Park usiku wa jana. Bao lingine la Everton limefungwa na Ramiro Funes Mori, wakati la City lilifungwa na Jesus Navas
LUKAKU AWASULUBU MAN CITY, EVERTON YASHINDA 2-1 NUSU FAINALI KOMBE LA LIGI

Post a Comment