Kocha wa Leicester City Claudio Ranieri amesisitiza hawafikirii ubingwa wa Barclays Premier League mpaka April japo wameweza kushinda 3 - 2 dhidi ya Everton, na kukaa kileleni katika msimu huu wa Christmas.
Shinji Okazaki Akifunga goli la Tatu |
Katika ushindi wa leo Riyad Mahrez aliweza kufunga penati mbili moja kila kipindi , na la tatu limefungwa na Shinji Okazaki, Mpaka kipindi cha kwanza kinaisha matokeo yalikua 2 -1, magoli ya Everton yamefungwa na Romelu Lukakuna Kevin Mirallas
Riyad Mahrez Akishangilia Moja ya Magoli Yake |
Post a Comment