Halloween party ideas 2015



Timu ya soka ya Arsenal imeendelea kujiimarisha katika ligi kuu ya England kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Manchestaer United .

Mabao ya washindi ya Arsenal yamefungwa na wachezaji Theo walcot Dakika ya 33 kipindi cha kwanza, na Olivier Girioud akifunga bao la pili Dakika ya 45 kipindi cha kwanza.
Kwa upande wa Manchester City bao la kufutia machozi lilifungwa na mchezaji YayaToure Dakika ya 82 kipindi cha pili.
Kwa matokeo hayo sasa Araseal bado inaendelea kushikilia nafasi ya pili nyuma ya Leicester city ikiwa na pointi 38 magoli 13 na imecheza michezo kumi na saba (17).

Post a Comment

Powered by Blogger.

Powered by themekiller.com