TIMU ya LEICESTER CITY ikiwa na matumaini ya kutanua uwingo wa pointi tano 5 nyuma ya Tottenham HotSpur yenye point 54 katika nafasi ya zilififia pale walipotoka suluhu ya mabao ya 2 -2 na WEST-BROM.
Katika mchezo huo WEST BROM ndio walikuwa wa kwanza kupata bao katika dakika ya 11 kupitia kwa Salomon Rondon, lakini Magoli ya Danny Drinkwater na Andy King yaliifanya LEICESTER CITY kwenda mapumziko wakiwa mbele kwa 2 -1.
Wakiwa na matumaini ya kutoka na pointi zote tatu, Craig Gardner alihaaribu plani ya LEICESTER kwa kuizawazishia WEST BROM, na mapaka dakika ya 90 mabao yalikuwa 2 -2.
|
Craig Gardner (kulia) akishangilia baada ya kuifingia West Brom goli la pili dhidi ya Leicester City Jumanne usiku |
|
Craig Gardner (kushoto) akiizawazishia WEST BROM katika dakika ya 50 dhidi ya Leicester City Jumanne usiku |
|
Craig Gardner (katikati) akipongezwa na wenzake baada kuzawazisha goli kwa mkwaju wa adhabu. |
|
Craig Gardner akishangilia baada ya kuifingia West Brom goli kwa mkwaju wa adhabu dhidi ya Leicester City Jumanne usiku |
Post a Comment