MWANARIADHA Oscar Pistorius aliyepatikana kwa kosa la mauaji ya aliyekuwa Mpenzi wake Reeva Steenkamp mnamo February 2013 baada ya kumpiga risasi nne kupitia mlango wa choo.
Mahakama imesikiliza rufaa na utetezi wa mbande zote mbili na inategemea kutoa uamuzi wake mwezi wa nne(18-April 2016) mwaka huu mbele ya Jaji Thokozile Masipa
Hatua hii itawapa nafasi mawakili wa pande zote mbili kujadili urefu wa adhabu atakayopewa mshitakiwa,Pistorius
Post a Comment