Halloween party ideas 2015


Nguli wa man united sir bobby charlton akimkabidhi wayne rooney ngao ya kutambua kwake kucheza mechi 500 akiwa na kikosi hicho. Hata hivyo sherehe hiyo ya rooney ambaye ni nahodha wa man united haikwenda vizuri baada ya kukutana na kipigo cha 2-1 kutoka kwa norwich.

Post a Comment

Powered by Blogger.

Powered by themekiller.com