Nyota wa Manchester United, Smalling akijitahidi kumzuia Bojan aliyeipatia bao la uongozi Stock City dakika ya 16.
Goli la pili la Stock City lilifungwa na Marko Arnautovic kwa mkwaju mkali uliomshinda kipa wa Manchester United David de Gea na kuandika goli la pili katika Uwanja wa Britannia.Kwa matokeo haya yanamuweka Luis Van Gaal katika wakati mbaya zaidi kuendelea kuifundisha timu hiyo. PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Post a Comment