LUIS VAN GAAL alionyesha ishara ya kuaga baada ya mchezo ulioikutanisha Machester United dhidi ya Stoke City katika uwanja wa Britania na Man kupokea kichapo cha 2 - 0. Magoli ya Stoke Yalifungwa na Bojan na Marko Arnautovic.
BOFYA HAPA MSIKILIZE VAN GAAL BAADA YA KICHAPO.
Post a Comment